Meneja Mkazi wa kampuni ya Simu za mkononi, Peter Zhang akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu uzinduzi wa simu mpya ya kisasa ya Huawei P8 katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regence leo Jiji Dar es Salaam.
Mkurungenzi wa Masoko wa Huawei Tanzania Mamson Mjwala akizungumza juu ya ubora wa betri ya simu hiyo aina ya Huawei P8 kwamba mfumo wa simu imezingatia matumizi ya muda mrefu mtumiaji anaweza kutumia simu kwa siku nzima bila kuiongezea umeme huku kwa wale watumiaji wa kawaida anaweza kutumia kwa siku moja na nusu.
Meneja Mkazi wa kampuni ya Simu za mkononi, Peter Zhang wa kulia wakizinduwa simu hiyo ya Huawei P8 kushoto ni Mkurungenzi wa Masoko wa Huawei Tanzania, Mamson Mjwala wakionyesha simu hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regence leo Jiji Dar es Salaam
Wadau wa simu aina ya Huawei huwafurahia simu hiyo Huawei P8 katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regence leo Jiji Dar es Salaam.
Baadhi ya wapiga picha wakipiga picha za uzinduzi wa Simu ya Huawei.
Mkurungenzi wa Masoko wa Huawei Tanzania, Mamson Mjwala kimwonyesha simu ya Huawei mwandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regence leo Jiji Dar es Salaam.
PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.
PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.