Showing posts with label BANK-EXIM. Show all posts
Showing posts with label BANK-EXIM. Show all posts

Friday, October 12, 2012

Benki ya Exim Kigoma




BENKI ya Exim imeendelea kupanua huduma zake nchini kwa kuzindua tawi jipya mkoani Kigoma, ikiwa ni jitihada za kuwafikishia huduma za kibenki wananchi wengi zaidi nchini.

Tawi hilo jipya litakuwa la 23 nchi nzima huku benki hiyo ikiwa imethubutu kufungua matawi mengine mawili nje ya nchi yakiwa nchini Comoro na Djibouti.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi hilo, Mkurugenzi wa benki hiyo, Hanif Jaffer, alisema ufunguzi wa tawi hilo ni utekelezaji wa mpango wa benki unaolenga kuhakikishia wananchi wengi wanapata huduma bora za kibenki.

Jaffer alisema benki yake imeamua kufungua tawi hilo kutokana na ukweli kuwa Mkoa wa Kigoma ni kiungo muhimu kwa wananchi wanaofanya biashara na nchi jirani za Burundi na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo.

Alisema kuwa benki yake itaendelea kuwapatia wajasiriamali wadogo na wakati uwezo wa kifedha ili kuwasaidia kupanua biashara zao.

“Jitihada zetu ni kuhakikisha tunafikia wananchi wengi waliopo pembezoni. Tuna imani kuwa ufunguzi wa tawi letu jipya hapa litasaidia kupunguza tatizo hilo,” alisema Jaffer.

Friday, August 17, 2012

Exim Bank honors five outstanding Police officers



 The Inspector General of Police (IGP) Said Mwema (second left) cuts a ribbon to officially launch the Exim Bank Tanzania award event to outstanding Police Officers. Left is the Exim Bank Managing Director Anthony Grant and the Exim Bank Board Chairman Yogesh Manek (second left). Photo by Staff Photographer.
The Exim Bank Managing Director Anthony Grant hands over a motor cycle key to Police Constable Mathais Mang'ombe (left) one of the police officers awarded by Exim Bank in Dar es Salaam yesterday for their tremendous contribution in serving the police force.
The Inspector General of Police (IGP) Said Mwema (right) stresses a point during an event organized by Exim Bank in Dar es Salaam yesterday to reward five outstanding police Officers. Looking on is the Exim Bank Board Chairman Yogesh Manek (centre) and the Exim Bank Managing Director Anthony Grant (left).