Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwahutubia baadhi ya Wabunge kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa kujadili namna gani nchi za Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu ya silaha, leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Ramadhani Mwinyi akiwahutubia baadhi ya Wabunge kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa kujadili namna gani nchi za Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu ya silaha, leo Jijini Dar es Salaam.
Mratibu kutoka Umoja wa Mataifa Bwana Alvaro Rodriguez akiwahutubia baadhi ya Wabunge kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa Mkutano wa kujadili namna gani nchi za Afrika zinavyoweza kupinga biashara haramu ya silaha, oleo Jijini Dar es Salaam.