Thursday, May 22, 2014

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA LIONS CLUBS

 
 
 
 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivalishwa Medali ya Juu ya Uongozi ya Club ya Lions na Gavana wa Lions Clubs International wa Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo wakati alipokutana na ujumbe wa Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mai 22, 2014.Kushoto ni M. Bakary na wapili kushoto ni LION dr. Hussein Hassan.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwashukuru viongozi wa Club ya Lions Clubs International baada ya kutunkiwa Medali ya juu ya Uongozi ya Club hiyo na Gavana wa Lions Clubs International wa Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo (wapili kulia) wakati alipokutana na ujumbe wa Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mai 22, 2014.Kushoto ni M. Bakary na wapili kushoto ni LION dr. Hussein Hassan.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibadilishana mawazo viongozi wa Lions Club International baada kutunukiwa Medali ya Juuya Uongozi ya Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mei 22, 2014. Kutoka kushoto ni Sayed Abdul Hai Qadri, M. Bakary, Dr. Hussein Hassan na Gavana wa Lions Clubs Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)