Mkuu wa Wilaya ya Arumeru,mkoa wa Arusha, Mhe. Nyirembe Munasa akitoa hotuba kwa vijana kutoka nchi za Afrika Mashariki katika Tamasha linalowakutanisha Vijana wapatao 250 ,Tamasha hilo linafanyika kwa siku tano katika taasisi ya
MS -TCDC mkoani Arusha
Vijana kutoka nchi za Afrika Mashariki wakisikiliza kwa makini mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye Tamasha la vijana.
Mkuu wa Wilaya Arumeru,mkoa wa Arusha, Mhe Nyirembe Munasa (kulia mbele) akibadilishana mawazo na mmoja wa vijana kutoka Uganda wanaohudhuria Tamasha la Vijana kutoka nchi za Afrika Mashariki.
Mkuu wa Wilaya Arumeru,mkoa wa Arusha,Nyirembe Munasa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Tamasha la Vijana. Picha na Emmanuel Filbert