Wednesday, March 30, 2016

UBALOZI WA INDIA NCHINI WAADHIMISHA ITEC DAY



UBALOZI WA INDIA NCHINI WAADHIMISHA ITEC DAY
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi na Kiuchumi kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha India jijini Dar es Salaam.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) akiwasha mshumaa kuashiria uzinduzi wa maadhimisho ya Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi na Kiuchumi kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha India jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Balozi wa India nchini Tanzania Mh. Sandeep Arya .Balozi wa India nchini Tanzania Mh. Sandeep Arya (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi na Kiuchumi kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha India jijini Dar es Salaam.