Monday, March 21, 2016

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAKUTANA NA WADAU KUPITIA MAPENDEKEZO YA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA SURA 410.



TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAKUTANA NA WADAU KUPITIA MAPENDEKEZO YA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA SURA 410.
 Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Jaji Aloysius Mujulizi (Kushoto aliyesimama) akifungua warsha ya siku moja baina ya Tume na Wadau kujadili mapendekezo ya Sheria ya Ununuzi wa Umma Sura ya 410 ya Mwaka 2011, iiliyofanyika katika ukumbi wa Tume Dra es Salaam.
  Baadhi ya wadau wakifuatilia vipengele vya sheria wakati wa kupitia mapendekezo ya Sheria ya Ununuzi wa Umma.
Sekretarieti ya Tume ikiwa makini kufuatilia hoja zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa kupitia mapendekezo ya maboresho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma.
(Picha zote na Munir Shemweta, Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania).