Thursday, December 24, 2015

MHAGAMA: Msiajiri wataalam kutoka nje kwa kazi wanazoweza kufanya watanzania




MHAGAMA: Msiajiri wataalam kutoka nje kwa kazi wanazoweza kufanya watanzania
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb), akisisitiza kutoa kipaumbele cha ajira kwa wataalam wa kitanzania wenye taaluma sawa na wataalamu wasio watanzania wakati alipokutana na Menejimenti ya Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TAESA), tarehe 23 Desemba, 2015, (katikati) ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Anthony Mavunde (Mb), na Kaimu Mkuu mtendaji wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TAESA), Boniface Chandaruba
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb) (wapili kutoka kulia waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TAESA), tarehe 23 Desemba, 2015, wapili kutoka kushoto waliokaa),ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ( Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Anthony Mavunde (Mb). (Picha na Ofisi ya Waiziri Mkuu).