Monday, December 07, 2015

Benki ya NMB yashinda nafasi ya kwanza Tuzo za NBAA kwa mabenki Tanzania



Benki ya NMB yashinda nafasi ya kwanza Tuzo za NBAA kwa mabenki Tanzania
Mkuu wa Idara ya Fedha wa                    Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto)                    akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu                    Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya                    kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya                    taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika                    ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na                    Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo                    zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es                    Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa                    Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58                    zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa                    taarifa za fedha kwa hiyari. Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.

Mkuu wa Idara ya Fedha                        wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto)                        akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu                        Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Hamisi                        Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa                        kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande                        wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na                        Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu                        (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana                        Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi                        ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.                        Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki                        katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa                        za fedha kwa hiyari.
Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.


Wawakilishi wa Benki ya                    NMB, Veronica Pascal (kushoto) akipiga picha ya                    ukumbusho mara baada ya kupokea tuzo kwa niaba ya NMB                    baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati                    safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini                    katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu                    na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo                    zilitolewa jana na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi                    wa Hesabu Tanzania. Wawakilishi wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (kushoto) akipiga picha ya ukumbusho mara baada ya kupokea tuzo kwa niaba ya NMB baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.Mkuu wa Idara ya Fedha wa                    Benki ya NMB, Veronica Pascal (katikati)                    akibadilishana mawazo na baadhi ya wawakilishi kutoka                    baadhi ya makampuni na taasisi zilizoshiriki kupokea                    tuzo za washindi wa hati safi za taarifa za fedha kwa                    makampuni na idara anuai nchini katika ukaguzi                    uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa                    Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya wawakilishi kutoka baadhi ya makampuni na taasisi zilizoshiriki kupokea tuzo za washindi wa hati safi za taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014.Mgeni rasmi, Naibu Katibu                    Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (kulia)                    akizungumza katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni                    na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa                    taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini                    katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa                    ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014.                    Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika                    kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha                    kwa hiyari. Mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (kulia) akizungumza katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.Mhasibu Mkuu Chuo Kikuu                    cha Kanisa Katoliki katika Afya na Tiba Bugando                    Boniface Kwiyeya (kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya                    chuo hicho toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya                    Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya chuo hicho                    kuibuka washindi wa kwanza kwa hati safi ya taarifa za                    fedha kwa upande wa vyuo nchini katika ukaguzi                    uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa                    Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zimetolewa                    jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi                    ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Mhasibu Mkuu Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki katika Afya na Tiba Bugando Boniface Kwiyeya (kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya chuo hicho toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya chuo hicho kuibuka washindi wa kwanza kwa hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa vyuo nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.Mhasibu Mkuu Chuo Kikuu                    cha Kanisa Katoliki katika Afya na Tiba Bugando                    Boniface Kwiyeya (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa                    niaba ya chuo hicho toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa                    Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya chuo                    hicho kuibuka washindi wa kwanza kwa hati safi ya                    taarifa za fedha kwa upande wa vyuo nchini katika                    ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na                    Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo                    zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es                    Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa                    Hesabu Tanzania. Mhasibu Mkuu Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki katika Afya na Tiba Bugando Boniface Kwiyeya (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya chuo hicho toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya chuo hicho kuibuka washindi wa kwanza kwa hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa vyuo nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.Mkuu wa Idara ya Fedha wa                    Benki ya NMB, Veronica Pascal (katikati)                    akibadilishana mawazo na baadhi ya wawakilishi kutoka                    baadhi ya makampuni na taasisi zilizoshiriki kupokea                    tuzo za washindi wa hati safi za taarifa za fedha kwa                    makampuni na idara anuai nchini katika ukaguzi                    uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa                    Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya wawakilishi kutoka baadhi ya makampuni na taasisi zilizoshiriki kupokea tuzo za washindi wa hati safi za taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014.Wawakilishi wa makampuni                    yalioshika nafasi za kwanza kwa kuwa na hati safi za                    taarifa za fedha nchini katika shindano la ukaguzi wa                    taarifa za fedha uliofanywa na Bodi ya Taifa ya                    Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014                    wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Naibu                    Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua                    mara baada ya kukabidhiwa tuzo hizo zilitolewa jana                    Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya                    Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla                    ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika                    kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha                    kwa hiyari.Baadhi ya wawakilishi wa                    makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano                    ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao                    uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa                    Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika hafla ya                    kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu                    Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa                    pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika                    kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na                    Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na                    taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha                    ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari. Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.Wawakilishi wa makampuni                    yalioshika nafasi za kwanza kwa kuwa na hati safi za                    taarifa za fedha nchini katika shindano la ukaguzi wa                    taarifa za fedha uliofanywa na Bodi ya Taifa ya                    Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014                    wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Naibu                    Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua                    mara baada ya kukabidhiwa tuzo hizo zilitolewa jana                    Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya                    Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla                    ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika                    kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha                    kwa hiyari. Wawakilishi wa makampuni yalioshika nafasi za kwanza kwa kuwa na hati safi za taarifa za fedha nchini katika shindano la ukaguzi wa taarifa za fedha uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua mara baada ya kukabidhiwa tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.Baadhi ya wawakilishi wa                    makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano                    ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao                    uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa                    Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakipokea tuzo zao toka                    kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,                    Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju                    jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha                    Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu                    Tanzania. Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakipokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.Kutoka kushoto ni Meneja                    wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove                    Michael Mville, Ofisa Uhusiano TTCL, Edwin Mashasi na                    Ofisa kutoka Idara ya Fedha TTCL, Allan Peter Ngowi                    wakiwa kwenye hafla ya kupokea tuzo kwa makampuni na                    taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa                    za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika                    shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya                    Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014.                    TTCL pia ilitwaa tuzo kwa kufanya vizuri katika                    taarifa za fedha. Kutoka kushoto ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove Michael Mville, Ofisa Uhusiano TTCL, Edwin Mashasi na Ofisa kutoka Idara ya Fedha TTCL, Allan Peter Ngowi wakiwa kwenye hafla ya kupokea tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. TTCL pia ilitwaa tuzo kwa kufanya vizuri katika taarifa za fedha.Katibu Mtendaji wa Bodi ya                    Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), Pius                    Maneno akizungumza katika hafla ya kutoa tuzo kwa                    makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi                    wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai                    nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi                    ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa                    mwaka 2014. Katibu Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), Pius Maneno akizungumza katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014.Baadhi ya wawakilishi wa                    makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano                    ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao                    uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa                    Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika hafla ya                    kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu                    Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa                    pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika                    kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na                    Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na                    taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha                    ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari. Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.*Imeandaliwa na www.thehabari.com