Mh.Mwigulu NChemba akipokea Fomu ya kuwania Ubunge kwa mara nyingine kwa Jimbo la Iramba,Mwigulu amechukua fomu hiyo hii leo Makao makuu ya CCM Wilaya ya Iramba-Kiomboi.
Mwigulu Nchemba akisainii kitabu maalumu cha Wagombea Ubunge Jimbo la Iramba.
Msafara MKubwa wa Mh.MWigulu Nchemba ukielekea Makao Makuu ya CCM Wilaya ya Iramba kwaajili ya Kuchukua fomu ya Kuwania Ubunge kwa awamu ya pili.
Mwigulu Nchemba akiwa ameungana na Vijana wa Bodaboda waliomiminika kumsindikiza akachukue fomu ya kuwania Ubunge kwa mara ya pili ndani ya Wilaya ya Iramba.