Monday, October 06, 2014

taswira ya Iddi



taswira ya Iddi
Kinamama wakiwa wanapunga upepo ufukweni mwa bahari ya Hindi maeneo ya Ocean Road jijini Dar es salaam jioni ya leo wakiwa kwenye sherehe za Idd el Haj