Saturday, October 04, 2014

TAARIFA YA MSIBA WA MAMA SOPHIA RAJABU NKYA MJINI MOSHI



TAARIFA YA MSIBA WA MAMA SOPHIA RAJABU NKYA MJINI MOSHI
UKOO WA MWEMA NA NKYA UNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA/DADA YAO MPENDWA BI SOPHIA RAJAB NKYA KILICHOTOKEA JANA 3/10/2014 SAA 2.45 USIKU  KATIKA HOSPITALI YA KCMC MOSHI.

MAZISHI YATAFANYIKA LEO TAREHE 4/10/2014 SAA KUMI ALASIRI KATIKA MAKABURI YA MOSHI MJINI.

HABARI  ZIWAFIKIE NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI WALIOPO NDANI NA NJE YA NCHI.