Monday, August 18, 2014

Rais Kikwete azungumza na Rais Zuma na Rais Kabila Zimbabwe



Rais Kikwete azungumza na Rais Zuma na Rais Kabila Zimbabwe
 
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini pamoja na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kwa ajili ya viongozi wa SADC wanaohudhuria mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe(picha na Freddy Maro)