Monday, September 01, 2014

TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA NKWAMIRA YAANDA HAFLA YA KUCHANGIA VITABU 2500 KWA SHULE ZA SEKONDARI NA ZA MSINGI JUMLA YA MILIONI 218 ZINAHITAJIKA


TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA NKWAMIRA YAANDA HAFLA YA KUCHANGIA VITABU 2500 KWA SHULE ZA SEKONDARI NA ZA MSINGI JUMLA YA MILIONI 218 ZINAHITAJIKA
 Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena wapili kushoto ni Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla, Mkurugenzi  Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Midana na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia)
 Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Midanawapili kutoka (kulia) akisistiza jambo kwa wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena.Wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla, ni Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguo, Meneja wa  Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele(Kushoto) kulia ni Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar .
 Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia) akiongea kwa waandishi wa habari hawapo pichani jijini Dar es Salaam juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Wapili kushlia ni Mkurugenzi  Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Midana. Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla, ni Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguo, Meneja wa  Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele (Kushoto)