Monday, October 06, 2014

PINDA MGENI RASMI SHERHE ZA SIKU YA WALIMU MJINI BUKOBA LEO



PINDA MGENI RASMI SHERHE ZA SIKU YA WALIMU MJINI BUKOBA LEO
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata  maelezo kuhusu mtambo wa kutotoa vifaranga kutoka kwa Mwalimu Deudediti Rwekaza  (kushoto) katika onyesho ya siku ya walimu Duniani iliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba leo
  Baadhi ya  walimu walioshiriki katika sherehe za siku ya walimu Duniani wakiimba wimbo maalum wa Walimu kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba ambako sherehe hizo zilifanyika kitaifa leo
 Sehemu ya waalimu kwenye sherehe hizo
Walimu kutoka Simiyu wakiimba katika sherehe za siku ya walimu duniani  ambazo mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba leo, Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu