Thursday, July 03, 2014

TASWIRAZZ YA JOGOO ALIEAMUA KUZICHAPA NA KIOO



TASWIRAZZ YA JOGOO ALIEAMUA KUZICHAPA NA KIOO
SI JAMBO LA KAWAIDA KUONA JOGOO AKIPIGANA NA KIVULI CHAKE,LAKINI JANA JOGOO MMOJA ALIZIPIGA KWELI KWELI NA JOGOO MWENZAKE ALIYEMUONA KWENYE KIOO KATIKA JENGO LA VING'AMUZI LA ZGC ZANZIGA RAHALEO,JOGOO HUYO ALIZUA KIOJA PALE ALIPOONDOSHWA NA NA KUONA HAIWEZEKANI KWAMBA KWANINI ANAONDOLEWA WAKATI HATA HAJAMTOA DAMU JOGOO HUYO,HAPO NDIPO ALIPOAMUA KURUDI TENA KWENYE MAPAMBANO HAYO YA MWENYEWE KWA MWENYEWE.....
Hapa Jogoo huyo alikuwa akikatiza katika eneo hilo na kumuona Jogoo mwengine kwenye kioo,kitu kinachoonekana hakikumpendeza Jogoo hasa alipoona anafuatwa fuatwa.
Mara akafyumu kwa Jogoo yule.
Akaanza kumlia denge.
Mara hasira zikapanda zaidi na kuanza kuzichapa na kioo hicho.