Saturday, September 29, 2012

MDOGO WA KAMANDA KINGO MWL, ZUBER AMAPATA MKE



MWL,ZUBER AKIWA KATIKA POZA NA MKE BAADA YA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA NA TUMAINI KATIKA KANISA LA KKT USHARIKA WA RUANDA MBEYA

MAMA YETU MCH RUTH MWALWEGA HAKUWA MBALI NA WANAE

FAMILIA YA MCHUNGAJI MWALWEGA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAHARUSI. MUNGU AWAPE MAISHA MEMA