Taswira Ya Nyumba Za Asili Za Wahaya, Nyegera Waitu Bukoba
Ujenzi wa nyumba za asili za wahaya nyumba maarufu kama 'Omushonge' (msonge) Picha kwa hisani ya J. Kempanju ambae ni mdau nambari moja wa MjengwaBlog kwenye kijiji cha Itahwa- Bukoba.Taswira zaidi za kutoka Itahwa mtaziona hapa blogini.