Friday, July 04, 2014

PAMBANO KATI YA MAMBA NA CHUI NANI MSHINDI .. JIONEE HAPA



PAMBANO KATI YA MAMBA NA CHUI NANI MSHINDI .. JIONEE HAPA
Mamba hoi kwa chui huyo.


Chui aina ya 'Jaguar' akimnyemelea mamba katika mto Cuiaba nchini Brazil.
Chui huyo akimkaribia mamba aliyekuwa akila upepo nje ya maji.
...Mamba akiwa hana hili wala lile.
Chui akimshambulia mamba huyo.


Mamba hoi kwa chui huyo.
...Mamba akizidi kushambuliwa na chui.
Chui akitokomea na mamba huyo baada ya kumzidi nguvu.
Chui akivuka mto na kitoweo chake safi cha mamba.