Monday, September 10, 2012

KAKAKUONA AJITOKEZA KILWA MASOKO LINDI




 Pichani ni kakakuona akiwa kaandaliwa vitu mbalimbali
Haya tena wana Kilwa na Mkoa wa Lindi KAKAKUONA AJITOKEZA NA BAADA YA KUPANGIWA VITU AKIMBILIA KATIKA COMPRESA YA GESI NA KUIRAMBARAMBA......HUKU TAYARI WILAYA HIYO IKIWA NA RASLIMALI KUBWA YA
MAENEO YA GESI.

Ikiwa ni siku hiyo hiyo kakakuona mwingine aliripotiwa kuonekana Dar es salaam katika eneo la makongo juu.
Je nini tafsiri yake? usikose kupata mwendelezo wa habari hii....

Picha na Abdulaziz video