Kikosi kazi cha Tone Multimedia Group ambao ni wamiliki wa mtandao wa Mbeya yetu Blog chini ya Blogs za Mikoa yaani sasa Tumedhamilia kwa nia moja kutembelea Wilaya ya Rungwe - Tukuyu kutazama fursa mbalimbali ambazo watu wengi hawazifahamu, kutazama shughuli mbalimbali na mambo mengi.
Safari hii ambayo imeandaliwa na sisi wenyewe itagusa hisia za wengi na kila mmoja kwa nafasi yake.. Hii ni nafasi yako Mwana Mbeya na unayesoma na upo nje au ndani ya Tanzania Tegemea mengi...
Kaa mkao wa Kujua Mengi usiyo yafahamu Kuhusu Wilaya ya Rungwe -Tukuyu na Maeneo yake.... Hii ni Fursa yako wewe Mtanzania ambaye upo ndani na nje ya Tanzania kujionea mengi.. hii itakuwa ni 'Surprise' kwenu
Picha na Mbeya yetu.