Monday, August 06, 2012

TFDA Yatoa Elimu Ya Matumizi Ya Vipodozi Kwenye Maonesho Ya Nane Nane Mkoani dodoma.



Pichani Afisa wa TFDA, Timina Sawe, akiwaonesha wananchi waliotembelea Banda la TFDA (Hawapo pichani) sabuni aina ya Kaisiki ambayo haifai kwa matumizi ya binadamu kutokana na madhara ambayo yanaweza kujitokeza Baada ya kuitumia. Sabuni hiyo ni maarufu sana kwa kina mama.



Afisa mahusiano wa TFDA   Gaudensia Simwanza akitoa elimu kwa watoto wa Shule waliotembelea banda la TFDA katika maonesho ya nanenane mkoani DODOMA.Wadau zaidi katika Banda la TFDA wakipata elimu ya vipodozi hususan sabuni ya KaisikiWadau wakiendelea kufurika Banda la TFDA kupata elimu