Tuesday, July 31, 2012

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akagua Ujenzi wa Barabara Ya Kiwango Cha Lami Manispaa ya Dodoma


 Mafundi wakijenga daraja katika barabara za eneo la Kisasa kwenye Manispaa ya Dodoma  Julai 29,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami  katika manispaa ya Dodoma Julai 29, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu