Tuesday, July 31, 2012

IKULU:Rais Jakaya Kikwete Afuturu na Viongozi na Wawakilishi wa Madhehebu Mbalimbali ya Dini Jijni Dar es Salaam


Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na viongozi na wawakilishi wa madhehebu mbalimbali ya dini walioshiriki katika futari aliyoiandaa kwa viongozi wa dini ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.Picha na Freddy Maro-IKULU