Thursday, August 21, 2014

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA WAZUNGUMZIA MALIPO YA WAKAZI WA KURASINI



WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA WAZUNGUMZIA MALIPO YA WAKAZI WA KURASINI
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene akizungumza jambo wakati wa mkutano kuhusiana na malipo ya wakazi wa Kurasini Jijini Dar es Salaam kupisha mradi mkubwa wa biashara Afrika Mashariki na Kati. Pamoja nae ni Waziri wake Dk. Abdallah Kigoda.
Mkurugenzi EPZA, Dr. Adelhelm Meru, kulia kwake akiwa na Mkurugenzi msaidizi idara ya maendeleo ya viwanda Wizara ya viwanda na biashara, Bi. Elli N. Pallangyo
Wakurugenzi kutoka wizara ya viwanda na biashara na wa EPZA wakiwa kwenye mkutano wa dharura wa malipo ya fidia kwa wananchi wa Kurasini waliochukuliwa makazi yao kwa ajili ya kujenga mradi wa Kurasini Logistics Centre.