JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA NISHATI NA MADINI
        WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe.            Profesa Sospeter M. Muhongo (Mb), amemteua Dk. Steve Mdachi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa              Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA), kuanzia tarehe 03              Juni, 2016.
        Kufuatia uteuzi huo,              amewateua pia wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi ya                Wakurugenzi ya PBPA kuanzia tarehe 03 Juni, 2016.
        1.  Dkt.              Daniel Sabai
        2.  Dkt. Henry  Chalu
        3.  Dkt. Siasa Mzenzi
        4.  Mr. Salum Mnuna
         Imetolewa na;
        KATIBU MKUU
        6 Juni, 2016
        
 
