Msemaji Mkuu Idara ya                Uhamiaji nchini, Abas Irovya akizungumza na waandishi wa                habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - Maelezo jijini                Dar es salaam, juu ya Idara hiyo kuanzisha utaratibu wa                kuwatoza faini wahamiaji haramu pindi watakapokamatwa.                Wengine pichani ni toka kushoto ni Mrakibu Msaidizi                Uhamiaji, Rosemary Mkandala,Afisa wa Divisheni, Usimamizi                na Udhibiti Mipaka, Wilson Bambaganya pamoja na Mkaguzi wa                Uhamiaji, LesileJames Mbotta.
        
 
