Thursday, April 07, 2016

Serikali yawasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2016/17.



Serikali yawasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2016/17.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza kabla ya Waziri wa Fedha na Mipango hajawasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa Bajeti ya serikali kwa mwaka 2016/2017 wakati wa mkutano wa Wabunge wote uliofanyika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Fedha na Mpiango Dkt Philip Mipango akiwasilisha Mapendekezo ya kiwango na ukomo wa bajeti kwa mwaka 2016/17 wakati wa mkutano wa Wabunge wote uliofanyika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim akiongoza kikao cha Wabunge wote wakati Serikali ilipowasilisha mapendekezo ya kiwango na ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2016/17. Kulia kwake ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai na kushoto ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson.
(Picha na Ofisi ya Bunge).