Sunday, April 03, 2016

E-GOSPEL YA 93.7 EFM KILA JUMAPILI SAA KUMI NA MOJA KAMILI HADI SAA MBILI



E-GOSPEL YA 93.7 EFM KILA JUMAPILI SAA KUMI NA MOJA KAMILI HADI SAA MBILI
Karibu E-Gospel ya 93.7 EFM kuanzia saa kumi na moja za asubuhi hadi saa mbili. Tunakuwa na sehemu kuu Sita ambazo zinakuweka karibu na Mungu zaidi kwa siku ya Jumapili na hata kukupa matumaini ya wiki nzima kwenye shughuli zako na matumaini ya kuweza kufanikiwa wiki nzima inayokuja. Muda mwingine kwa kipengele kimoja cha SAFARI YANGU kinaweza kukusogeza kwenye kumsifu Mungu zaidi kwa nyimbo hivi wewe mwenye kipaji cha Kumwimbia Mungu basi ndani ya 93.7 EFM utapata njia mpya ya kuweza kusikika na sisi tunasema kila mara Tunasonga Mbele tukiwa nawe mwanafamilia ya Egospel Efm. Shiriki nasi Maiko Kessy na Mao Thobi kila ifikapo jumapili. Karibu 93.7 EFM - ''TUNALISONGESHA''