Sunday, December 07, 2014

Pinda aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani



Pinda aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani
 Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea picha ya mji wa Jerusalemu kutoka kwa Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo   katika chakula cha jioni kilichoandaliwa katika makazi Muadhama, Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo Kurasini jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasimi katika shughuli hiyo ambapo kulipatikana pesa tasilimu na ahadi shilingi milioni miamoja ishirini na saba laki nne na tisini elfu Picha na Chris Mfinanga

  Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea picha ya mji wa Jerusalemu kutoka kwa Kadinali Pengo 
 Mtoto Dorothea Elias Simkwayi (14) anayesoma shule ya wasichana Jangwani akimuahidi Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuchangia Shilingi elfu arobaini kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani aliye keti ni Mke wa WAziri wa Madini Mh Chales Kitwanga Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasimi katika shughuli hiyo ya Kuchangia iliyo fanyika katika makazi Kadinali Pengo Kurasini ambapo kulipatikana pesa tasilimu na ahadi shilingi milioni miamoja ishirini na saba  laki nne na tisini elfu
Wasaidizi wa Mh Waziri Mkuu wakimuunga mkono katika kuchangia. Picha na Chris Mfinanga