Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk Gideon Kaunda akihojiwa na waandishi wa habari katika hafla ya ufungaji wa mkutano wa siku mbili kuhusu ushiriki wa sekta binafsi katika miradi ya ubia kati ya sekta binafsi na ya umma (PPP), iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ulioandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), ikishirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Benki ya Dunia.
Mtaalamu wa uchumi kutoka Benki ya Dunia, Jeffrey Delmon (kulia) akizungumza na washiriki wa mkutano wa siku mbili kuhusu ushiriki wa sekta binafsi katika miradi ya ubia kati ya sekta binafsi na ya umma (PPP), uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kuandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), ikishirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Benki ya Dunia.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk Gideon Kaunda (kulia) akizungumza katika hafla ya ufungaji wa mkutano wa siku mbili kuhusu ushiriki wa sekta binafsi katika miradi ya ubia kati ya sekta binafsi na ya umma (PPP), uliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ulioandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), ikishirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Benki ya Dunia. Kushoto ni Kamisha wa PPP kutoka Wizara ya Fedha, Dk. Francis Mhilu.
Kamishna wa Sera ya Ushirikiano wa Sekta Binafsi ya Umma (PPP) kutoka Wizara ya Fedha, Dk. Francis Mhilu (kulia) akiagana na Mtaalamu wa uchumi kutoka Benki ya Dunia, Jeffrey Delmon baada ya kumalizika kwamkutano wa siku mbili kuhusu ushiriki wa sekta binafsi katika miradi ya ubia sekta binafsi na ya umma (PPP), uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki uliyoandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), ikishirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Benki ya Dunia. Kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk Gideon Kaunda.
Mmoja wa washiriki kutoka Benki ya Maendeleo, George Wandwalo (kushoto) akiuliza swali.
Baadhi ya washiriki.
Washiriki wakipiga picha ya kumbukumbu mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo uliokuwa ukijadili ushiriki wa sekta binafsi katika miradi ya ubia kati ya sekta binafsi na ya umma (PPP), uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.