Monday, April 20, 2015

MPYAA-KAULI YA BERNAD MEMBE MUDA HUU JUU YA KINACHOENDELEA AFRICA KUSINI


MPYAA-KAULI YA BERNAD MEMBE MUDA HUU JUU YA KINACHOENDELEA AFRICA KUSINI 1Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam, Wakati alipotoa tamko la serikali ya Tanzania kuhusu machafuko yaliyotokea wiki iliyopita nchini Afrika Kusini kwa wenyeji wa nchi hiyo kufanya mashabulizi dhidi ya wageni kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika wanaoishi nchini humo.



3Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikini wa Kimataifa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.4

Balozi  wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mh ModestJ Mero pamoja na viongozi wengine kutoka wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifuatilia mkutano huo.5Baadhi ya wanahabari wakiwajibika.6

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam7

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe akisisitiza jambo kwa  waandishi wa habari wakati akizungumza nao kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam.

(PICHA KWA HISANI YA  KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)