| Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Moshi vijijini ,Hussein Jamal akizungumza wakati wa kikao cha makatibu kata na makatibu wa matawi kilichofanyika katika hotel ya King Size Himo. |
| Mwenyekiti wa Makatibu katika jimbo la Vunjo ,Shaban Mwangi akisoma taarifa ambayo inadaiwa kupikwa kwa lengo la kukivuruga chama hicho katika jimbo la Vunjo. |
| Baadhi ya viongozi wakisilikiliza kwa makini. |
| Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya akizungumza wakati wa kikao hicho ambacho kilijadili pia tuhuma zilizotolewa dhidi yake. |
| Makatibu wakila kiapo . |
| Baadhi ya makatibu katika kikao hicho. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.