Monday, November 03, 2014

Breaking Newwzzzzzz: Kaimu MKurugenzi WA TPDC na Mwenyekiti wake wa Bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.



Breaking Newwzzzzzz: Kaimu MKurugenzi WA TPDC na Mwenyekiti wake wa Bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.
Taarifa zilizotufikia hivi punde ndani ya chumba cha habari ,kinaleleza kuwa kaimu Mkurugenzi wa TPDC,Bwa.James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi Bwa.Michael Mwanda wamepelekwa rumande kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la  hesabu za mashirika ya umma PAC,kamati imeagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.

Kikosi kazi cha kipo kazini kuifuatilia taarifa hii,hivyo tuendelea kupitia pitia hapa jamvini kupata Updates.

Chanzo: MichuziBlog