Waziri Mkuu, Mizengo                Pinda akifungua shule ya Sekondari ya Magnificat wilayani                Siha Septemba 20, 2014. Kushoto ni mkewe Tunu. 
                        Waziri Mkuu, Mizengo                Pinda akisalimiana na wazee wa Mpanda baada ya kuzungumza                na mjini Mpanda Septemba 22, 2014. Alikuwa njiani akitoka                Sumbawanga kuelekea Dodoma.
                Waziri Mkuu, Mizengo                Pinda akikagua ujenzi wa shule ya Msingi ya Kakuni                wilayani Mlele Septemba 22, 2014. Alikuwa njiani akitoka                Sumbawanga kuelekea Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa                Katavi, Dkt. Rajab Rutengwe. (Picha na Ofisi ya Waziri                Mkuu)
        .jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)