Katibu                  Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi baiskeli                  kwa Makatibu Kata.
                     Katibu                  Mkuu wa CCm Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua                  matofali ya ujenzi wa ofisi za CCM kata ya Kiwangwa.
                     Katibu                  Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi                  wa kata ya Miono
                     Katibu                  Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi                  wa kata ya Miono ambapo aliwaambia wawe makini katika                  kuchagua viongozi wa kijiji ili kuepusha migongano na                  migogoro ya ardhi zinazodaiwa kuuzwa kwa wawekezaji
                     Wakazi                  wa Jimbo la Chalinze wakisikiliza kwa makini
                     Wananchi                  wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman                  Kinana alipokuwa akihutubia wakazi hao na kuwasisitiza                  juu ya masula muhimu ikiwa kuchagua viongozi                  bora,kuwapeleka watoto shule ,kujiandikisha huduma za                  afya ya jamii na matumizi bora ya ardhi.
          




