Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Viongozi wa Taasisi ya Shirikisho ya kamati za Hijja alipowasili Viwanja vya Karimjee Dar es salaam jana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia baadhi ya Mahujaji wanaotarajia kwenda kutekeleza Ibara ya Hijja huko Makka, wakati alipokutana nao jana katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa kwenda kutekeleza ibada ya Hijja huko Makka, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipokua akiwahutubia katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam jana .
Baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa kwenda kutekeleza ibada ya Hijja huko Makka, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipokua akiwahutubia katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam Jana.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais