Tuesday, August 19, 2014

Waziri Gaudensia Kabaka aipongeza TPB kutoa mikopo kwa wastaafu


Waziri Gaudensia Kabaka aipongeza TPB kutoa mikopo kwa wastaafu
Kutoka kushoto ni Ofisa                  Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TPB), Sabasaba                  Moshingi, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na                  baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa wameshikana mikono na                  kuinyanyua juu ikiwa ni ishara ya kuwaunganisha wastaafu                  kwenye fursa mara baada ya uzinduzi wa mpango maalumu wa                  kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF                  leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TPB), Sabasaba Moshingi, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa wameshikana mikono na kuinyanyua juu ikiwa ni ishara ya kuwaunganisha wastaafu kwenye fursa mara baada ya uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam.Waziri wa Kazi                  na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi                  wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko                  wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki                  ya Posta, Sabasaba Moshingi akizungumza katika hafla ya                  uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu                  wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki                  ya Posta, Sabasaba Moshingi (kushoto) akimkaribisha                  Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka meza kuu mara                  baada ya waziri huyo kuzinduwa rasmi mpango maalumu wa                  kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF                  leo jijini Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka meza kuu mara baada ya waziri huyo kuzinduwa rasmi mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam.Waziri wa Kazi                  na Ajira, Gaudensia Kabaka (wa nne kulia), Ofisa                  Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi (wa                  tano kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya                  wageni waalikwa walioshiriki katika mpango maalumu wa                  kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF                  leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka (wa nne kulia), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi (wa tano kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa walioshiriki katika mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam.