Wednesday, August 13, 2014

TAHA ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MBEYA


TAHA ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MBEYA

Afisa                  kilimo Mkoa wa Mbeya (Aliyevaa tai) akipokea maelezo ya                  kilimo cha mboga ndani ya hema maalumu ya kuoteshea                  nyanya iliyowekwa na Barton Tanzania kwa ushirikiano na                  TAHAAfisa kilimo Mkoa wa Mbeya (Aliyevaa tai) akipokea maelezo ya kilimo cha mboga ndani ya hema maalumu ya kuoteshea nyanya iliyowekwa na Barton Tanzania kwa ushirikiano na TAHA  katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya
Afisa                  Kilimo na Msimamizi wa ofisi ya TAHA ukanda wa Nyanda za                  Juu Kusini Bw. Ringo (Mwenye Jaketi jekundu) akifafanua                  juu ya matumizi bora ya teknoloji za kisasa kwenye                  kilimo cha mboga ili kuongeza tija kwa MkulimaAfisa Kilimo na Msimamizi wa ofisi ya TAHA ukanda wa Nyanda za Juu Kusini Bw. Ringo (Mwenye Jaketi jekundu) akifafanua juu ya matumizi bora ya teknoloji za kisasa kwenye kilimo cha mboga ili kuongeza tija kwa Mkulima katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya
Mtaalamu                  wa Kilimo wa TAHA Bw. Anania Bansimbile akiwaonyesha                  wananchi namna bora ya kuotesha mimea ya mboga kabla ya                  kupandwa shambaniMtaalamu wa Kilimo wa TAHA Bw. Anania Bansimbile akiwaonyesha wananchi namna bora ya kuotesha mimea ya mboga kabla ya kupandwa shambani katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya
Chainizi                  iliyopandwa kwa ustadi wa hali ya juuChainizi iliyopandwa kwa ustadi wa hali ya juu
Hema                  maalumu(greenhouse) la kuoteshea mazao yanayohitaji joto                  ili yaweze kustawi vizuriHema maalumu(greenhouse) la kuoteshea mazao yanayohitaji joto ili yaweze kustawi vizuri
Plot ya                  TAHA na mshirika wake Barton kama inavyoonekana katika                  pichaPlot ya TAHA na mshirika wake Barton kama inavyoonekana katika picha
Mazao ya                  mboga yaliyopandwa kwa utaalamu wa hali ya juu kwenye                  vitalu vya mboga vya TAHAPlot ya TAHA na mshirika wake Barton kama inavyoonekana katika picha
Karoti                  iliyovunwa kutoka katika vitalu vya TAHA kwa ajili ya                  maonesho ya wakulima katika viwanja vya Nanenane MbeyaKaroti iliyovunwa kutoka katika vitalu vya TAHA kwa ajili ya maonesho ya wakulima katika viwanja vya Nanenane Mbeya
Wananchi                  wakipokea elimu kutoka kwa mtaalamu wa TAHA namna ya                  kuotesha nyanya kwenye hema maalumu ya kuoteshea mazao                  ya mbogaWananchi wakipewa elimu lishe kuhusu umuhimu wa matumizi ya mboga kutoka kwa mtaalamu wa masuala ya lishe wa TAHA Bi. Lawrencia wakati wa maonyesho ya Nanenane Mbeya

Mtaalamu                  akimuelekeza jambo Mkulima aliyetembelea Banda la TAHAMtaalamu akimuelekeza jambo Mkulima aliyetembelea Banda la TAHA