Friday, July 04, 2014

MKE WA RAIS, MAMA SALMA KIKWETE ATAMBEMBEA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF MAONESHO YA SABASABA


mayingu2Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu(Wapili kulia), akimuhudumia mstaafu, na mwanachama wa Mfuko huo, Jackson F. Salewa, wakati wa siku hya PSPF kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Ijumaa Julai 4, 2014.

New membersMkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akisalimiana na baadhi ya wanachama wapya wa mfuko huo, waliojiunga wakati wa sherehe za siku ya PSPF iliyofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere kunakofanyuika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa.
Salma _Mayingu2Mke wa rais, Salma Kikwete, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biasharaya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini jana, Julai 4, 2014