![]() |
| Wachezaji wa Yanga, kutoka kulia Haruna Niyonzima, Oscar Joshua na Athumani Iddi 'Chuji' wakijadiliana wakati mchezo uliposimama kwa muda ili Barthez atibiwe baada ya kuumia |
![]() |
| Mshambuliaji hatari wa Azam FC, Kipre Tchetche raia wa Ivory Coast, akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Yanga, Kevin Yondan. |
![]() |
| Niyonzima (8) aliyeshikana mikono na Hamisi Kiiza akielekea eneo la mashabiki wa Yanga kushangilia baada ya kufunga |
![]() |
| Mabeki; David Mwantika wa Azam mbele akikabiliana na Kevin Yondan wa Yanga |
![]() |
| John Bocco akimiliki mpira mbele ya beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' |
![]() |
| Mchezaji bora wa mechi ya leo; Haruna Niyonzima akiwa ameupitia mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Azam, Seif Abdallah |
![]() |
| Hamisi Kiiza kushoto akigombea mpira na David Mwantika, kulia ni Chuji na Salum Abubakar 'Sure Boy' |
![]() |
| Jerry Tegete akipiga shuti huku David Mwantika akiweka mguu |
![]() |
| Kipa Ally Mustafa 'Barthez' akiinuka baada ya kutibiwa na Daktari, Nassor Matuzya. Mbele yake ni Yondan akimfuatilia |
![]() |
| Simon Msuva akienda chini baada ya kupigwa kwanja na beki wa Azam |
![]() |
| Kikosi cha Azam leo |
![]() |
| Kikosi cha Yanga leo |
![]() |
| Barthez amelala chini baada ya kuumia, huku mshambuliaji wa Azam, John Bocco 'Adebayor' akizungumza na refa Hashim Abdallah |
![]() |
| Niyonzima akimtoka Mieno |
![]() |
| Barthez anadondoka na mpira baada ya kuudakia juu |
![]() |
| Hamisi Kiiza akimueleza jambo beki wa Azam, Mwantika wakati kipa Mwadini Ally akiwa amelala chini baada ya kuumia. Wengine kushoto ni Didier Kvumbangu na refa Hashim Abdallah |
![]() |
| Barthez akiwapanga mabeki wake (hawapo pichani) wakati Azam wanapga mpira wa adhabu |
![]() |
| Kavumbangu akipasua ukuta wa Azam |
![]() |
| Kiiza kushoto akiwatoka mabeki wa Azam |
![]() |
| Chuji akinawa maji kupoza mishipa ya kichwa |
![]() |
| Kocha wa Azam, Stewart Hall akitoka uwanjani kinyonge baada ya mechi |
![]() |
| Refa Hashim Abdallah akisindikizwa na Polisi kutoka uwanjani baada ya mechi |
![]() |
| Wachezaji wa Azam wakimzonga refa wakimtuhumu kumaliza mechi kabla ya muda |
![]() |
| Kocha wa Yanga, Ernie Brandts wa Uholanzi akiwapungia mikono mashabiki wake baada ya mechi |
![]() |
| Hamisi Kiiza kulia akigombea mpira na beki Joackins Atudo wa Azam |
![]() |
| Msuva akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Azam |
![]() |
| Joackins Atudo akimuondoa njianui Msuva |
![]() |
| Jerry Tegete akimtoka Salum Waziri wa Azam |
![]() |
| Tegete amepiga tik tak mbele ya mabeki wa Azam |
![]() |
| Niyonzima akiambaa na mpira mbele ya wachezaji wa Azam |
![]() |
| Niyonzima anamtoka Mcha |
![]() |
| Niyonzima anamtoka Mcha |
![]() |
| Viungo bora; Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Azam akigombea mpira na Frank Domayo wa Yanga. Nyuma ni Chuji akiwa tayari kuingilia |
![]() |
| Sure Boy anaambaa na mpira pembeni ya Tegete |
![]() |
| Frank Domayo akimvisha kanzu Kipre Tchetche |
![]() |
| Sure Boy anamtoka Kavumbangu |
![]() |
| Sure Boy anawatoka viungo wa Yanga Domayo na Chuji kulia. Mbele ni Yondan(PICHA ZOTE NI KUTOKA BONGOSTAZ.COM |





































