BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA KUMALIZA MAZOEZI KATIKA KIWANJA CHA SHULE YA MSINGI AZIMIO JIJINI MBEYA |
HAPA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WAKIWA MAKINI KUMSIKILIZA KOCHA AMOSI CHUMA AKITOA MAELEKEZO MAFUPI KABLA YA KUANZA MAZOEZI |
SASA MAZOEZI YAMEANZA |
WAANDISHI WA KIKE NAO HWAKUCHEZA MBALI KATIKA MAZOEZI HAYO |
JOSEPH MWAISANGO WA MBEYA YETU AKIJARIBU KUMTOKA VENANCE MATINYA |
SAFI SANA MAZOEZI YANAENDELEA |
CHALES MWAKIPESILE AKIENDELEA NA MAZOEZI YA VIUNGO |