Sehemu ya maaandamano yakiwa na mabango mbalimbali kwenye sherehe ya kumpongeza Aliyekua Naibu Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa Dk Asha rose migiro, katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzanaia (UWT), kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana
Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Dk Asha Rose Migiro akisalimiana na baadhi ya wanachama wa UWT waliojitokeza kwa wingi kwenye sherehe ya kumpongeza Dk Migiro kwa kumaliza muda wake wa utumishi salama umoja wa mataifa jana
baadhi ya kinamama na wanachama wa UWT wakipita wakiwa na zawadi mbalimbali za Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Dk Asha Rose Migiro kwenye sherehe ya kumpongeza Dk Migiro kwa kumaliza muda wake wa utumishi salama umoja wa mataifa jana
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpongeza Dk. Asha Rose Migiro, wakati wa sherehe ya kumpongeza Naibu Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake, katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzanaia (UWT), kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.