Friday, September 28, 2012

MAN MAGAZINE YASEMA SARATANI YA TEZI DUME NI HATARI KWA WANAUME.




Mchungaji Dkt. Emmanuel Kandusi (katikati) ambaye ni mmoja wa waathirika wa saratani ya tezi dume (Prosate Cancer) akitoa ushuda wake mbele ya waandishi wa habari na kuwata wanajamii kujitokeza kwenda kupima mapema ili waweze kupatiwa tiba. Kulia niMwenyekiti wa Radiotherapist Association of Tanzania Sifuel Kaale na kushoto ni Mkuregenzi wa man Magazine Dismus Massawe.
Mkurugenzi wa IMTU na Mwanaharakati wa kupambana na Saratani Dkt. Ally Mzige (kushoto) akifafanua dalili za ugonjwa wa Saratani ya Tezi Dume na pia kutoa takwimu za ugonjwa huo hapa nchini pamoja na Saratani nyinginezo. Kulia ni Mhariri Msaidizi wa Creative Print Shop Maryjane Makawia.