Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose Manuel Barroso Barosso akisaini kitabu cha wageni
Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni mlezi wa Hospitali ya CCBRT Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose Manuel Barroso alipowasili Hospitalini hapo leo kujionea shughuli za ikati Hospitali hiyo,Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa
Rais Barosso na wenzie wakipata muhtasari wa hospitali hiyo
Mkurugennzi akiwatambulisha wagonjwa.
Mzazi akiwa na mwanae Hospitali ya CCBRT.
Wakina mama wakiwa na watoto wao walio na matatizo mbalimbali wakiwa Hosp[itali ya CBRT.
Baadhi ya wanaopata huduma CCBRT.
Baadhi ya watoto wanaopata huduma CCBRT.
Mpango wa Upanuzi wa Hospitali ya CCBRT
Watoto Dema Emmanuel (6) na Goodson George (16) wakimkabidhi mgeni rasmi zawadi ya 'gari'
Wagonjwa waliotibiwa na kupona fistula.
Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose Manuel Barroso akiondoka

Wakimuaga kiongozi huyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT Dkt Wilbrod Slaa akifafanua jambo kwa Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr Erwin Telemans (kati) pamoja na Spika Makinda.
Kwa hisani ya HAKI NGOWI
Kwa hisani ya HAKI NGOWI