Sunday, July 22, 2012

Rais Kikwete azindua mradi wa maji jijini Mbeya leo


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs(wapili kushoto), balozi wa jumuiya ya ulaya nchini Cerian Philberto Sebregondi(kushoto),Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe wakikata utepe kuzindua rasmi mradi wa maji safi na mazingira Mjini Mbeya leo mchana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Kamishna wa Maendeleo katika jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs wafunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa MRADI WA MAJI SAFI na usafi wa mazingira katika eneo la Swaya mjni Mbeya leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs(Watau kushoto) na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe wakikagua chanzo cha maji eneo la Swaya mjini Mbeya wakati wa uzinduzi wa mradi maji safi na mazingira mjni humo leo mchana.Picha na Freddy Maro.