Monday, July 09, 2012

SHUKRANI KWA WADAU WA MIHANGAIKO.

Shukrani kwenu wadau mambao meanza kutuletea matangazo yenu. 

Tunafurahi pia kuendelea kuujenga ushirikiano wenu wote.

Bado tunaendelea kupokea matangazo na habari mbalimbali nasi tutazirusha bila Woga.

Lete habari yako ipate kusomwa na wengi na pia ijulikane.

Asanteni sana. E mail yetu ni info@patakazi.net

UONGOZI.