Monday, July 09, 2012

FFU watoa Salamu za heri za "SABA SABA"


Ngoma Africa Band yatoa
SALAMU ZA HERI YA "SABA SABA" KWA WATANZANIA

Bendi ya Muziki wa dansi "Ngoma Africa band" aka FFU yenye makao
yake kule ujerumani inatoa salamu za heri "Saba Saba " kwa watanzania
wote walio ndani na nje ya nchi,bendi hiyo inaipongeza uongozi wa nchi
pamoja na watanzania kwa kuendeleza mila ya kuudumisha sherehe za
"Saba Saba" ambazo pia zinawapa nafasi watanzania kuonyesha na
kushiriki katika maonyesho ya biashara ya bidhaa zinazozalishwa viwandani,
mashambani,na huduma ya jamii.
Mungu Ibariki Tanzania !
Mungu Ibariki Afrika !

 Tufurahie Saba Saba kwa 
kupata raha ya "Supu ya Mawe" kutoka kwa Kikosi kazi Ngoma Africa aka FFU.

























--

Managing Director,

Patakazi.net Ltd,
P.O.Box 4089,
Mwanza.






--

Managing Director,

Patakazi.net Ltd,
P.O.Box 4089,
Mwanza.