Baada ya Mwanamuziki wa Injili wa Tanzania Christina Shusho kuingia katika Kugombea tuzo 2 za Muziki wa Injili katika Kinyang'anyiro hicho cha Africa Gospel Music Awards.
Taarifa ambazo zimezipata usiku wa kuamkia Jumapili ambapo matokeo hayo yalitangazwa Mwanamuzii Dawit Getachew Kutoka Ethipia ameibuka kuwa mwanamuziki Bora wa Kutoka Africa Mashariki.
Wadau ndani Ya AGMA
Wimbo bora wa Mwaka umetoka kwa Mwanamuziki Emmy Kosgei kutoka Kenya ambaye Mwaka jana alitwaa tuzo kuwa Mwanamuziki bora wa Kike barani Africa.
Mwanamuziki Bora wa Tuzo za South Africa Music Awards mwaka 2012 Solly Malhangu ameibuka kuwa mwanamuziki Bora wa Kiume kutoka Africa Ya kusini.
Solly Malhangu
Na Nafasi ya Mwanamuziki Bora wa Kike Afica Imetwaliwa na Lala George Kutoka Nigeria.
Event za Joyous Celebration zimewapa tuzo za 'Event Bora Ya Mwaka" nayo ilikuwa ni launching ya Albam ya 16 Ya Joyous Celebration mwaka 2011.
Maelezo Kutoka Website ya AGMA inaeleza:--
- AGMA 2012 WINNERS
EVENT OF THE YEAR SPONSORED BY EAGLE ENTERTAINMENT
Joyous Celebration 16 Live Recording (South Africa)
RADIO PROGRAM OF THE YEAR SPONSORED BY LONDON CHRISTIAN RADIO
Indumiso- Ukozi FM
RADIO PRESENTER OF THE YEAR SPONSORED BY VOICE OF AFRICA RADIO
Anthony Ndiema- Kenya
Fiifi Folson- Ghana
TV CHANNEL/ PROGRAM OF THE YEAR SPONSORED BY FAITH TV
One Gospel (South Africa)
TV PRESENTER OF THE YEAR SPONSORED BY OHTV
Shoggy Tosh
DISCOVERY OF THE YEAR SPONSORED BY G FORCE RADIO
PK Boadi-UK
Prosper Mateva -Zimbabwe
AFRO JAZZ/ INSTRUMENTAL MUSICIAN OF THE YEAR SPONSORED BY AFROLINK
Mike Aremu (Nigeria)
AFROGOSPEL RAP ARTISTE/GROUP OF THE YEAR SPONSORED BY KEEP THE FAITH MAGAZINE
Rooftop MCs (Nigeria)
Andrew Bello (UK)
ARTISTE OF THE YEAR EAST AFRICA
Dawit Getachew- Ethiopia
ARTISTE OF THE YEAR WEST AFRICA SPONSORED BY MONEYGRAM
Frank Edwards-Nigeria
ARTISTE OF THE YEAR CENTRAL AFRICA SPONSORED BC3 MEDIA
Mike Kalambayi (Congo)
ARTISTE OF THE YEAR SOUTHERN AFRICA SPONSORED BY CONSTANCE BANQUET
Patrick Duncan
ARTISTE OF THE YEAR USA/CANADA SPONSORED BY MISS TEE
Yaw Osei-Owusu
ARTISTE OF THE YEAR AUSTRALIA/ASIA SPONSORED
EAGLE ENTERTAINMENT
Disciple
ARTISTE OF THE YEAR EUROPE SPONSORED MEDIA MIND
Rebecca, UK
MUSIC PRODUCER OF THE YEAR SPONSORED BY PAULINE LONG BEFFTA
Wole Oni - (Nigeria)
Billy Frank (Kenya)
GROUP/CHOIR OF THE YEAR SPONSORED BY
Simply Chrysolite-South Africa
VIDEO OF THE YEAR
God Dey Bless Me- Cwesi Oteng – Ghana
SONG OF THE YEAR SPONSORED BY LYCA MOBILE
Ololo – Emmy Kosgei (Kenya)
ALBUM OF THE YEAR SPONSORED PREMIER GOSPEL
Colours of Africa- Sonnie Badu (UK)
FEMALE ARTISTE OF THE YEAR SPONSORED BY
Lara George- Nigeria
MALE ARTISTE OF THE YEAR
Solly Mahlangu-South Africa
AGMA SPECIAL AWARDS
BEST CONTRIBUTION TO THE PROMOTION OF AFRICAN GOSPEL MUSIC
Voice of Africa Radio
Bola Mogaji
Wole Oni
Premier Gospel
BC3 Media
Jabu Hlongwane
John Mensah Sarpong
AGMA TRAILBLAZER AWARD
Sammie Okposo
Sonnie Badu
Muyiwa Olarewaju
LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD
Rev. Benjamin Dube
- AGMA 2012 WINNERS
Blog inawapa Shukrani Kubwa sana kwa Watanzania waliojitokeza Kumpigia Kura.