Saturday, June 04, 2011

Breaking News-Zitto Kabwe akamatwa.

Jamani hali sio nzuri ya hii kamata kamata.

Soma maelezo haya maana na me naogopa wasije wakanikamata.

"Zitto Kabwe
Nimekamatwa na polisi Singida kwa kosa la kuhutubia mpaka saa kumi na mbili jioni
Zitto Kabwe
Nimemaliza mkutano saa kumi na mbili kamili. Polisi walitoa amri nifunge mkutano na nikafunga mkutano. Wamenifuata hotelini kunikamata na nipo kituoni. Nimekataa kutoa maelezo yeyote mpaka awepo mwanasheria wangu na kuthibitisha kama wamefuata taratibu kukamata Mbunge. Wananiweka ndani. Ni uonevu ambao sijapata kuuona katika nchi yangu!
about an hour ago"